iqna

IQNA

Sheikh Ali Mohiuddin Al-Qaradaghi
Kadhia ya Palestina
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuunga mkono kikamilifu Afrika Kusini katika kesi yake ya kisheria dhidi ya utawala wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
Habari ID: 3478502    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ali Mohiuddin Al-Qaradaghi , Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa Maulamaa wa Waislamu (IUMS) ametoa fatwa ya kuruhusu kutengwa maeneo maalumu misikitini kwa ajili ya kuwatibu watu ambao wanaugua ugonjwa wa corona au COVID-19.
Habari ID: 3472660    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/12